You Can't Win (wimbo)

"You Can't Win" ni jina la wimbo uliombwa na mwimbaji wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo uliimbwa kwa ajili ya filamu ya mwaka wa 1978 - The Wiz.

“You Can't Win”
“You Can't Win” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya The Wiz: Original Motion Picture Soundtrack
A-side "You Can't Win (Pt. 1)"
B-side "You Can't Win (Pt. 2)"
Imetolewa 11 Januari 1979
Muundo 7" single
12" single
Imerekodiwa 1978
Aina Disco
Urefu 3:43
7:17 (12" mix)
Studio Epic Records
Mtunzi Charlie Smalls
Mtayarishaji Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Ease on Down the Road"
(1978)
"You Can't Win (Pt. 1)"
(1978)
"A Brand New Day"
(1979)

Wimbo ulitungwa na Charlie Smalls, na ulinuiwa uimbwe na Dorothy Gale, lakini haikuwezekana kwa kuwa alikuwa na shughuli zingine na badala yake ikafanywa na Jackson. Hata hivyo, wimbo ulidondoka kuwa kama kibwagizo cha filamu baada ya majaribio yake.

Marejeo hariri


  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu You Can't Win (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.