Yusuf Warsame Saeed

Yusuf Warsame Saeed (alifariki 7 Aprili 2013) alikuwa mwanasiasa wa Somalia. Alikuwa Meya wa Hargeisa, mji mkuu wa Jamhuri ya Somaliland. [1]

Mhandisi kitaaluma, Saeed alichaguliwa kwenye nafasi hiyo tarehe 23 Desemba 2012. Alihudumu katika wadhifa huu hadi miezi michache kabla ya kifo chake.

Marejeo hariri

  1. "Somaliland: Who is Eng Yusuf Warsame Saeed? Mayor of Hargeisa". Iliwekwa mnamo 26 December 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yusuf Warsame Saeed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.