Yvonne Bryceland

Yvonne Bryceland (18 Novemba 192513 Januari 1992), alikua muigizaji wa jukwaani nchini Afrika Kusini. Moja ya kazi yake ya uigizaji inayojulikana sana ni Athol Fugard.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yvonne Bryceland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.