Zainab Kapanda

Mwanasoka wa Malawi

Zainab Kapanda, (alizaliwa 12 Machi 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Malawi ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Blantyre Zero na Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi.[1]

Zainab Kapanda
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 12 Machi 2002
Mahala pa kuzaliwa    Malawi
Nafasi anayochezea Kiungo
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi

* Magoli alioshinda

Ushiriki Kimataifa

hariri

Kapanda amechezea Timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi katika misimu mawili ya michuano ya Kombe la Wanawake la COSAFA (2020 na 2021).[2]

Marejeo

hariri
  1. "MALAWI : Goals galore as National Women's League kicks off in style". Africa Top Sports. 30 Mei 2021. Iliwekwa mnamo 16 Oktoba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Zainab Kapanda - Soccer player profile & career statistics - Global Sports Archive". globalsportsarchive.com. Iliwekwa mnamo 2023-03-13.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zainab Kapanda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.