Zakia Hamdani Meghji (alizaliwa 31 Desemba mnamo mwaka 1946) ni mwanasiasa nchini Tanzania ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Fedha kuanzia mwaka 2006 hadi 2008.[1] Alikuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo.

Zakia Meghji mwaka 2007.

Aliwahi pia kuwa waziri wa Utalii, Meghji ndiye Waziri wa Utalii aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi nchini humo, na ambaye alileta mabadiliko mengi mazuri katika Wizara hiyo.

Marejeo

hariri
  1. "Member of Parliament CV". Parliament of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-08-05. Iliwekwa mnamo 5 Machi 2013. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)