Zeke Manyika alizaliwa 23 Februari 1955 Shirikisho la Rhodesia na Nyasaland ni mpiga ngoma, mwimbaji na mtunzi.

Kazi hariri

Manyika alizaliwa Zimbabwe, lakini ameishi Uingereza kwa muda mrefu wa maisha yake. Kuanzia 1982 hadi 1984 alikuwa mwanachama wa kikundi cha muziki wa pop cha Orange Juice (bendi), na alichangia kwenye wimbo wao mkubwa zaidi, "Rip It Up".


Marejeleo hariri