Zerlina Maxwell
Mchambuzi wa Siasa
Zerlina Maxwell (amezaliwa 16 Novemba 1981[1][2]) ni mtangazaji wa televisheni ya kebo, mchambuzi wa kisiasa, mtoa maoni, mzungumzaji, na mwandishi kutoka Marekani.
Anaandika na kuzungumza kuhusu tamaduni, ukosefu wa usawa wa kijinsia, ridhaa ya kijinsia, ubaguzi wa rangi, na mada kama hizo kwa mtazamo wa kiliberali.[3][4] Anajielezea kama mnusurika wa unyanyasaji wa kijinsia na "mwanaharakati aliyenusurika".[3][5]
Elimu
haririMaxwell ana shahada ya udaktari wa seria kutoka Shule ya Sheria ya Rutgers na BA katika mahusiano ya kimataifa kutoka Chuo Kikuu cha Tufts.[6]
Marejeo
hariri- ↑ DeMicia Inman (2020-12-08). "Zerlina Maxwell talks new book, race and why she's encouraged by the Biden-Harris win". TheGrio (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-02-10.
- ↑ POLITICO Staff (2020-11-16). "BIRTHDAY OF THE DAY: Zerlina Maxwell, host of 'Zerlina' on Peacock, MSNBC analyst and co-host of 'Signal Boost Show' on Sirius XM". POLITICO (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-02-10.
- ↑ 3.0 3.1 "Q&A: Zerlina Maxwell on rape culture and sexual assault" (kwa American English). 2017-11-20. Iliwekwa mnamo 2024-02-10.
- ↑ Bliss, Mark (2017-02-16). "Former Clinton aide: Trump campaign normalized racism, sexism". Southeast Missourian.
- ↑ Galo, Sarah (2015-02-23), "Zerlina Maxwell: 'I'm making a pitch for more public male allies'", The Guardian (kwa Kiingereza (Uingereza)), ISSN 0261-3077, iliwekwa mnamo 2024-02-10
- ↑ "2015 Event - Challenging Rape Culture" Ilihifadhiwa 13 Juni 2020 kwenye Wayback Machine.. Columbia College.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zerlina Maxwell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |