Zharnel Hughes (amezaliwa Julai 13, 1995)[1] ni mwanariadha kutoka Uingereza alijkita kwenye mbio za mita 100 na mita 200. Alishinda medali ya dhahabu kwenye mbio za mita 100 na 4*100 kwenye michuano ya mabingwa wa ulaya 2018, akiwakilisha Uingereza na mbio za mita 4*100 mwaka 2018 kwenye michuano ya jumuiya ya madola akiwakilisha Uingereza. [2]

Hughes, 2022

Marejeo hariri

  1. "Zharnel HUGHES | Profile | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-12-21. 
  2. "Zharnel Hughes". www.teamgb.com (kwa en-gb). Iliwekwa mnamo 2021-12-21.