Zikhona Sodlaka

Muigizaji wa Afrika Kusini anayejulikana zaidi kwa majukumu yake ya kuigiza katika safu ya runinga kama vile Shooting Stars,Rhythm City,Soul City, Intsika na Montana

Zikhona Sodlaka (amezaliwa Mthatha, 7 Juni 1985[1]) ni mwigizaji wa Afrika Kusini anayejulikana zaidi kwa majukumu yake ya kuigiza katika safu ya runinga kama vile Shooting Stars,Rhythm City,Soul City, Intsika na Montana.

Zikhona Sodlaka
Amezaliwa 7 Juni mwaka 1985
Mthatha
Nchi Afrika kusini
Kazi yake Mwigizaji wa Afrika Kusini

Sodlaka aliwahi kuteuliwa kwenye Tuzo za Filamu na Televisheni za Afrika Kusini (SAFTA).[2]

Yeye ni mwigizaji mashuhuri wa Afrika Kusini katika Tsha Tsha, Igazi, Generations safu ya Runinga ya Afrika Kusini.[3][4][5]na filamu ya The Two of Us ya mwaka 2015 na Mandela:Matembezi Marefu hadi Uhuru.[6][7]

Maisha ya awali

hariri

Sodlaka alizaliwa Mthatha huko Eastern Cape, alikulia KwaZulu-Natal. Alisoma katika shule ya Excelsior SSS na aliacha akiwa darasa la 9. Alipata elimu yake yote katika shule ya Warriors Rust.

Alipata elimu ya juu katika chuo cha Shepstone ambapo alisomea Usimamizi wa Biashara. Alipata Astashada yake na kwenda Johannesburg na kusajiliwa katika Teknolojia ya Habari kama Mwanafunzi na alifanya Programu ya Kompyuta huko Havtec kabla ya kujikita kwenye sanaa.

Marejeo

hariri
  1. "Zikhonda Sodlaka, TVSA". tvsa.co.za. Iliwekwa mnamo 10 Juni 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Komani Sibabalwe, Adeaga Favour (3 Septemba 2019). "Zikhona Sodlaka biography: Age, speech, profile, Nomhle Nkonyeni, Generations, Instagram and contact details". briefly.co.za.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Getting To Know Zikhona Sodlaka", zalebs.com. Retrieved on 2020-11-19. (en) Archived from the original on 2019-06-04. 
  4. "10 Facts You Didn’t Know About Zikhona Sodlaka", mytvnews.co.za. (en) 
  5. Sapa. "Final act: Axed Generations stars go to court", The M&G Online. (en) 
  6. "Why We Love Zikhona Sodlaka", redlive.co.za. Retrieved on 2020-11-19. (en) Archived from the original on 2019-06-04. 
  7. Vourlias, Christopher (22 Septemba 2015). "South Africa Sets Drama for Foreign-language Oscar Race". Variety. Iliwekwa mnamo 22 Septemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)