Katika utarakilishi, zinduo (kwa Kiingereza: booting au boot) ni mchakato wa kuzindua tarakilishi.

Zinduo ya tarakilishi kwenye Linux.

Kuna aina mbili za zinduo:

  • Zinduo baridi ni mchakato wa kuzindua tarakilishi iliyozimwa.
  • Zinduo moto ni mchakato wa kuzindua tarakilishi ambayo imewashwa tayari. Zinduo moto inazindua tarakilishi bila kuizima.

MarejeoEdit

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.