Kabwe Zuberi Zitto
(Elekezwa kutoka Zitto Kabwe)
Kabwe Zuberi Zitto (amezaliwa 24 Septemba 1976) ni mwanasiasa nchini Tanzania. Kwa sasa ni mlezi wa chama cha Alliance for Change and Transparency.
| |
Mbunge | |
Bunge la | Tanzania |
Jimbo la uchaguzi | Kigoma Kaskazini |
Tarehe ya kuzaliwa | 24 Septemba 1976 |
Chama | Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) |
Tar. ya kuingia bunge | 2005 |
Dini | |
Elimu yake | Chuo Kikuu cha Dar es Salaam |
Digrii anazoshika | BA (uchumi) |
Kazi | mwanasiasa/mchumi |
Tovuti yake | http://zittokabwe.wordpress.com/ |
Alisomea uchumi Tanzania na Ujerumani. Alikuwa mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini katika Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa niaba ya Chadema alipokuwa pia Mkurugenzi wa Ofisi ya Masuala ya Kimataifa.
Mwaka 2015 alijiuzulu bungeni, akatoka katika chama cha Chadema na kujiunga na chama cha Umoja wa Mabadiliko na Uwazi (Alliance for Change and Transparency, ACT). Katika uchaguzi wa 2015 alichaguliwa upya bungeni kama mgombea wa chama hiki.[1]
Marejeo
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Viungo vya nje
- Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Archived 11 Desemba 2007 at the Wayback Machine.
- Blogu ya Zitto Kabwe
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |