Ziwa Abaya au Abaya Hayk (zamani pia Margherita) linapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.

Ziwa Abaya
Anwani ya kijiografia 6°26′N 37°53′E / 6.433°N 37.883°E / 6.433; 37.883Coordinates: 6°26′N 37°53′E / 6.433°N 37.883°E / 6.433; 37.883
Mito ya kuingia Mto Bilate
Mto Gidabo
Mto Gelana
Nchi za beseni Ethiopia
Urefu 60 km (37 mi)
Upana 20 km (12 mi)
Eneo la maji 1,162 km2 (449 sq mi)
Kina cha wastani 7.1 m (23 ft)
Kina kikubwa 13.1 m (43 ft)
Mjao 8.2 km3 (2.0 cu mi)
Kimo cha uso wa maji juu ya UB 1,175 m (3,855 ft)
Miji mikubwa ufukoni Arba Minch
Ziwa Abaya kutoka Dorze. Kulia mbali ni Arba Minch na ziwa Chamo. Katikati kuna Nechisar National Park.

Ziwa linachangiwa na Mto Bilate, mto Gidabo na Mto Gelana, halafu linatokwa na mto Kulfo unaopeleka maji kwenye ziwa Chamo[1]

Eneo lake lote ni kilometa mraba 1162, urefu ni kilometa 60 na upana kilometa 20[2] with a surface area of 1162 square kilometers.[3].

Ndani yake vinapatikana visiwa kadha; kile kikubwa zaidi kinaitwa Aruro.

Tanbihi hariri

  1. Ababu Teklemariam, Bernd Wenclawia (2004). Water Quality monitoring within the Abaya-Chamo Drainage Basin. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-02-07. Iliwekwa mnamo 2018-02-06.
  2. Statistical Abstract of Ethiopia for 1967/68
  3. Baxter, R. M. Lake Morphology and Chemistry. in Taylor, W.D. and Tudorancea, C., eds. Ethiopian Rift Valley Lakes. Leiden: Backhuys Publishers, 2002.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Abaya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.