Ziwa Engaruka Magadi

Ziwa Engaruka Magadi ni kati ya maziwa ya mkoa wa Arusha (Tanzania kaskazini).

Maji yake yanategemea mto Emugur Berek na mto Nguruo ya Komani.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri