Ziwa Kachera
Ziwa Kachera (piaː Kachira, Kachra) ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Mbarara.
Ziwa hilo lina eneo la kilometa mraba 36.88.
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Kachera kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |