Ziwa Kamnarok lilikuwa kati ya maziwa ya Kenya (kaunti ya Baringo) hadi mwaka 2015 lilipokauka. Kabla ya hapo lilikuwa linaenea katika km² 1.

Tazama pia

hariri

Orodha ya maziwa ya Kenya