Ziwa Karengye (piaː Karenge, Nyabihoko) ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Ntungamo.

Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa hilo lina eneo la kilometa mraba 3.51.

Tazama pia hariri

Orodha ya maziwa ya Uganda

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri