Ziwa Kashiba
Ziwa Kashiba ni maarufu sana kwa kuwa na mabwawa madogo yenye kina kirefu sana yanayopatikana katika mji wa Ndola.
Ziwa Kashiba | |
---|---|
Anwani ya kijiografia | 13°26′38″S 27°56′24″E / 13.44389°S 27.94000°E |
Nchi za beseni | Zambia |
Eneo la maji | ha 3.5 (acre 8.6) |
Kina kikubwa | m 100 (ft 330) |
Kashiba maana yake "ziwa dogo". Lina eneo la takribani hektari 3.5 (ekari 8.6) na kina cha uso wa maji mita 100 (futi 330).
Marejeo
hariri- A visit to Lake Kashiba and the local legend story Ilihifadhiwa 7 Julai 2017 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Kashiba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |