Ziwa Katinda ni ziwa dogo la Uganda (wilaya ya Rubirizi) lililopo katika kasoko ya volikano.

Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Marejeo

hariri