Ziwa Mburo ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Kiruhura.

Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa hilo lina eneo la kilometa mraba 13.

Tazama pia hariri

Orodha ya maziwa ya Uganda

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri