Ziwa Mulehe ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Kisoro.

Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa hilo lina eneo la kilometa mraba 2.44.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri