Ziwa Mwananyamala ni kati ya maziwa madogo ya Tanzania.

Lilipatikana katika mkoa wa Dar es Salaam. Kwa sasa limepotea kutokana na makazi ya watu kujengwa katika eneo hilo na hivyo kupelekea maji yaliyokuwa yanakusanyika hapo kuathiri maeneo mengine, hasa kwenye mkondo wa maji Jangwani.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri