Ziwa Nabugabo
Ziwa Nabugabo ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Masaka.
Ziwa hilo liko kilometa 4 kutoka Ziwa Nyanza ambalo lilitengana nalo miaka 5,000 iliyopita.
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Stager, J. Curt; Westwood, J; Grzesik, D; Cumming, B.F (2005), "A 5500-year environmental history of Lake Nabugabo, Uganda", Palaeogeography, Palaeoclimatology, Palaeoecology, 218 (3–4): 347, doi:10.1016/j.palaeo.2004.12.025
- Tovuti ya Ziwa Nabugabo Ilihifadhiwa 20 Desemba 2017 kwenye Wayback Machine.
- Geonames.org
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Nabugabo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |