Ziwa Nasikie Engida
Ziwa Nasikie Engida linapatikana katika kaunti ya Kajiado nchini Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).
Maji yake yanatokana na mto Ndupa na mto Olkeju Aross.
Ndani yake kinapatikana kisiwa cha Olempolos.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Nasikie Engida kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |