Kaunti ya Kajiado
Kaunti ya Kajiado ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,117,840 katika eneo la km2 21,871.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 51 kwa kilometa mraba[1]. Makao makuu yako Kajiado.
Utawala
haririKaunti ya Kajiado imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[2]:
- Isinya 210,473
- Kajiado Central 161,862
- Kajiado North 306,596
- Kajiado West 182,849
- Loitokitok 191,846
- Mashuuru 64,214
Angalia pia
haririMarejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ http://countytrak.infotrakresearch.com/Kajiado-county/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Viungo vya nje
hariri- http://www.kajiado-district-dev-trust.org.uk/ Archived 18 Mei 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.kajiadochildrenshome.com
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Kajiado kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |