Ziwa Nkugute ni ziwa dogo la Uganda lililopo katika kasoko ya volikano karibu na Buhera (wilaya ya Rubirizi).

Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Marejeo hariri