Ziwa Opeta ni ziwa dogo la Uganda kaskazini kwa Ikweta (Wilaya ya Kumi).

Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa hilo hufaidika na mvua za mlima Elgon na hutoa maji kwa Ziwa Opeta na hatimaye kwa Ziwa Kyoga.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri