Ziwa Trasimeno

Ziwa Trasimeno (kwa Kiitalia: Lago Trasimeno) liko Italia ya Kati, katika mkoa wa Umbria. Ndilo ziwa la nne kwa ukubwa nchini Italia.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Trasimeno kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.