Ziwa Upemba
ziwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Ziwa Upemba ni ziwa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika eneo la Bukama. Ni sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Upemba na liko katika bonde la Kamalondo lililoundwa na Mto Lualaba na ambalo lina maziwa mengine 50.
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Upemba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |