Bonde ni sehemu ya ardhi iliyo baina ya milima miwili. Mara nyingi ni sehemu iliyo chini na inayopitiwa na mto.

Mandhari ya bonde la Bryce Canyon, Utah.

Bonde linafanywa kwa kina na mto wa maji au wakati mto unapita kutoka kwenye ardhi ya juu hadi ardhi ya chini, na kuingia baharini au ziwani.

Upepo pia unaweza kufanya mabonde makubwa kwa mmomonyoko.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bonde kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.