Volta (ziwa)
(Elekezwa kutoka Ziwa Volta)
Ziwa la Volta ni bwawa kubwa kwenye mto Volta nchini Ghana iliyopatikana tangu kufungwa kwa mwendo wa mto Volta kwa lambo la Akosombo kuanzia mwaka 1965.
| |
Mahali | Afrika ya Magharibi |
Nchi zinazopakana | Ghana |
Eneo la maji | 8,502 km² |
Kina cha chini | 75 m |
Mito inayoingia | Muhun (Volta nyeusi), Nakambe (Volta nyeupe) |
Mito inayotoka | Mto Volta |
Miji mikubwa ufukoni | -- |
Ziwa Volta ni ziwa kubwa kabisa duniani lililoundwa na watu. Urefu wake ni zaidi ya kilomita 500. Bwawa lapokea maji ya mito miwili Volta Nyeusi na Volta Nyeupe. Hutoka katika lambo kama mto Volta na kuishia katika Atlantiki.
Lambo la Akasombo likafungwa mwaka 1965. Wakati ule watu 78.000 walihamaishwa kutoka makazi yao. Lambo latengeneza umeme kwa ajili ya mahitaji ya Ghana.
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Volta (ziwa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |