Ziwa Wamala
Ziwa Wamala ni ziwa dogo la Uganda kaskazini kwa Ikweta, katika wilaya ya Mityana, wilaya ya Mubende na wilaya ya Gomba.
Ziwa hilo lina eneo la kilometa mraba 250. Maji yake yanachangia Ziwa Nyanza ambalo lilitengana nalo miaka 4,000 iliyopita.
Tazama pia
haririMarejeo
haririViungo vya nje
hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Wamala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |