Ziwa Jipe

Ziwa katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania
(Elekezwa kutoka Ziwa la Jipe)

Ziwa Jipe ni moja kati ya maziwa ya Tanzania na ya Kenya.

Ziwa Jipe mpakani mwa Kenya na Tanzania.

Linategemea zaidi maji ya mto Lumi unaotiririka kutoka mlima Kilimanjaro[1].

Tazama pia hariri

3°27′0″S 37°43′48″E / 3.45000°S 37.73000°E / -3.45000; 37.73000

Tanbihi hariri

  1. Ministry of Natural Resources and Tourism, Wildlife Division, The United Republic of Tanzania (May 2004). Lake Jipe Awareness Raising Strategy (2005 – 2007). ramsar.org. Iliwekwa mnamo 24 September 2011.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Jipe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.