Zonguldak ni mji na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Zonguldak katika kanda ya Bahari Nyeusi nchini Uturuki. Idadi ya wakazi wanaoishi mjini hapa ni 104,276 ambayo ilihesabiwa mnamo mwaka wa 2000. bandari muhimu ya Bahari Nyeusi, na ni maarufu kwa ajili ya migodi ya koli.

Bandari ya kale ya mjini Zonguldak, ambayo ilijengwa mnamo 1848

Viungo vya Nje hariri

Ramani za mtandaoni
Picha
Video


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Zonguldak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.