Zoom Video Communications

Nembo ya Zoom

Zoom Video Communications ni kampuni yenye makao makuu San Jose, California inayotoa huduma ya mikutano kwa video, mikutano ya mtandaoni, na gumzo.[1]

Historia

Zoom ilianzishwa mwaka 2011 na mhandisi toka kampuni ya Cisco Systems na kitengo chake, WebEx, ambacho nacho kinatoa huduma kama hii. Mwanzilishi huyo, Eric Yuan, awali alikuwa ni makamu wa raisi wa uhandisi wa Cisco. David Berman, toka WebEx na Ring Central, walichukua urais wa kampuni hii toka Novemba 2015.[2]

Zoom ilianza kutoa huduma zake Januari 2013 na kufikia Mei 2013, ilikuwa na wateja milioni moja.[3] Ilipotoa tolea lake la kwanza, Zoom iliingia ubia na kampuni kadhaa ikiwemo Redbooth (wakati huo ikijulikana kama Teambox).[4]

Muda mfupi baadaye iliunda programu iliyoitwa "Works with Zoom",iliyopelekea Zoom kuingia ubia na kampuni za Logitech, Vaddio, and InFocus.[5][6][7] Towards the end of the year, Zoom managed to have its software integrated into InterviewStream, a company that provides remote video interviewing capacity to employers.[8] InterviewStream expanded their video interviewing capabilities using Zoom's video services.[9]

Marejeo

Viungo vya nje

  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zoom Video Communications kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.