Zubain Muhaji Mhita

Zubain Muhaji Mhita (amezaliwa 9 Septemba 1950) ni mbunge wa jimbo la Kondoa Kaskazini katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Zubain Muhaji Mhita (10 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.