Zuccabar au Zucchabar ulikuwa ni mji wa kale katika Dola la Roma, jimbo la Mauretania Caesariensis. Leo hii hupatikana Miliana, Algeria.

Ramani ya Algeria, ulipo mji wa kale wa Zuccabar.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Zuccabar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.