Ängelholm

Ängelholm ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 22,532 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1516 .

Korti la mji wa Ängelholm
Ängelholm Municipality in Scania County.png

JiografiaEdit

Eneo lake ni 12.65 km². Iko kando ya Kattegat. Umbali na Jiji la Malmö ni 73 km.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ängelholm kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.