Çorum ni mji uliopo kaskazini mwa Anatolia ambao ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Çorum katika Uturuki. Mji wa Çorum upo katika ardhi ya kati ya Bahari Nyeusi ya Uturuki, takriban km 244 kutoka mji wa Ankara na 608 kutoka mjini Istanbul. Mji una futi za maporomoko zipatayo 801 kutoka UB, eneo la tambarare ni 12,820 km² (4950 mi²), na kwa sensa ya mwaka wa 2004, idadi ya wakazi imefikia 178,500.[1]

Mageti ya Simba yaliyokaribuni na mji wa Çorum.

Marejeo

hariri
  1. "Introduction to Çorum". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-12-03. Iliwekwa mnamo 2009-04-06.

Viungo vya nje

hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Çorum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.