Étienne Balibar
Étienne Balibar (amezaliwa 23 Aprili 1942 katika eneo la Avallon, Yonne, Bourgogne) ni mwanafilosofia kutoka nchini Ufaransa. Baada ya kifo cha mwalimu wake aliyefahamika kwa jina la Louis Althusser, Balibar alikuwa mhamasishaji mkubwa wa mtazamo wa filosofia ya Marxist. Reading Capital, kilichoandikwa kwa msaada wa Althusser na mwanafunzi wake.
Maisha na kazi
haririBalibar aliibuka wa kwanza katika wanafunzi wa Althusser katika shule ya École Normale Supérieure. Balibar alikuwa akishiriki katika majadiliano mbalimbali katika warsha zilizokuwa zikiongozwa na Louis Althussernyingi zikimuhusu Karl Marx. Majadiliano haya, hatimaye yakapelekea kuandikwa kwa kitabu cha Reading Capital. Balibar kwa sasa anafundisha Filosofia na nadharia ya siasa latika chuo kikuu cha California, Irvine. Mtoto wake wa kike wa kwanza anafanya shughuli za kuigiza na anafahamika kwa jina la Jeanne Balibar
Bibliografia
haririKazi za Kifaransa
hariri- 1965: Lire le Capital. With Louis Althusser et al.
- 1974: Cinq Etudes du Matérialisme Historique.
- 1976: Sur La Dictature du Prolétariat.
- 1985: Spinoza et la politique.
- 1988: Race, Nation, Classe. With Immanuel Wallerstein.
- 1991: Écrits pour Althusser.
- 1997: La crainte des masses.
- 1998: Droit de cité. Culture et politique en démocratie.
- 1999: Sans-papiers: l’archaïsme fatal.
- 2001: Nous, citoyens d’Europe? Les frontières, l’État, le peuple.
- 2003: L'Europe, l'Amérique, la Guerre. Réflexions sur la médiation européenne.
- 2005: Europe, Constitution, Frontière.
Zilizotafsiriwa
hariri- 1970: Reading Capital (London: NLB). With Louis Althusser. Trans. Ben Brewster.
- 1977: On the Dictatorship of the Proletariat (London: NLB). Trans. Grahame Lock.
- 1991: Race, Nation, Class: Ambiguous Identities (London & New York: Verso). With Immanuel Wallerstein. Trans. Chris Turner.
- 1994: Masses, Classes, Ideas: Studies on Politics and Philosophy Before and After Marx (New York & London: Routledge). Trans. James Swenson.
- 1995: The Philosophy of Marx (London & New York: Verso). Trans. Chris Turner.
- 1998: Spinoza and Politics (London & New York: Verso). Trans. Peter Snowdon.
- 2002: Politics and the Other Scene (London & New York: Verso). Trans. Christine Jones, James Swenson & Chris Turner.
- 2004: We, the People of Europe? Reflections on Transnational Citizenship (Princeton & Oxford: Princeton University Press). Trans. James Swenson.
Zilizo kwenye mtandao
hariri- Occasional Notes on Communism. In: Krisis: Journal for Contemporary Philosophy Ilihifadhiwa 1 Machi 2012 kwenye Wayback Machine.
- Theses for an Alter-Globalising Europe Ilihifadhiwa 17 Novemba 2011 kwenye Wayback Machine..
- Reading Capital (1968).
- Self-Criticism: Answers to Questions from Theoretical Practice (1973).
- On the Dictatorship of the Proletariat (1977).
- At The Borders Of Europe Ilihifadhiwa 2 Machi 2007 kwenye Wayback Machine. (1999).
Viungo vya nje
hariri- Selected bibliography (up to 1998). Ilihifadhiwa 30 Desemba 2006 kwenye Wayback Machine.
- Review of We, the People of Europe? Reflections on Transnational Citizenship. Ilihifadhiwa 30 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine.
- Racisms, Migration & Citizenship in Europe: Etienne Balibar and Sandro Mezzadra in Conversation (Audio-English) Ilihifadhiwa 8 Novemba 2012 kwenye Wayback Machine. - darkmatter Journal, 5 Aug 2007.
- intervention d'Etienne Balibar & Moishe Postone Congrès Marx International V : Altermondialisme/ anticapitalisme. Pour une cosmopolitique alternative. Octobre 2007
- Debating with Alain Badiou on Universalism Ilihifadhiwa 9 Novemba 2012 kwenye Wayback Machine. Opening statement, 2007 Koehn Event in Critical Theory. A dialogue between Alain Badiou and Etienne Balibar on "Universalism", University of California Irvine, 2 Februari 2007
- Etienne Balibar’s Lecture Spinoza’s Three Gods and the Modes of Communication at the Conference of the Birkbeck Institute for the Humanities Thinking with Spinoza: Politics, Philosophy and Religion, 7 na 8 Mei 2009 (podcast) Ilihifadhiwa 12 Desemba 2010 kwenye Wayback Machine.