İznik (District), Bursa

Iznik ni mji na wilaya iliyopo katika Mkoa wa Bursa kwenye kanda ya Marmara huko nchini Uturuki.

İznik

Jina la zamani la mji huo lilikuwa Νίκαια, Níkaia. Jina hilo la Kigiriki limekuwa mara nyingi Nicaea au Nicea, kwa Kiswahili Nikea au Nisea.

Mji huo ulipata umaarufu kutokana na mitaguso mikuu miwili iliyofanyika huko, ule wa kwanza (325) na ule wa saba (787).

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu İznik (District), Bursa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.