Şebnem Taşkan (alizaliwa Oktoba 26, 1994) ni mchezaji wa soka wa nchini Uturuki na ambaye anacheza kama kiungo kwenye klabu ya wanawake ya Bramfelder SV nchini Ujerumani. Ni mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Uturuki.[1]

Marejeo hariri

  1. "Sebnem Taskan" (kwa German). FuPa Algemeine Zeitung. Iliwekwa mnamo 8 April 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Şebnem Taşkan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.