2Pacalypse Now
2Pacalypse Now ni jina la albamu ya kwanza ya rapa 2pac, ambayo ilitolewa mnamo mwezi wa Novemba katika mwaka wa 1991.
2Pacalypse Now | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Studio album ya 2Pac | |||||||||||
Imetolewa | 12 Novemba 1991 | ||||||||||
Imerekodiwa | 1991 | ||||||||||
Aina | Political rap, West Coast hip hop | ||||||||||
Urefu | 55:07 | ||||||||||
Lebo | Jive/Interscope Records | ||||||||||
Mtayarishaji | Atron Gregory, Big D the Impossible, Jeremy, Live Squad, Raw Fusion, Shock G, Underground Railroad | ||||||||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||||||||
|
|||||||||||
Wendo wa albamu za 2Pac | |||||||||||
|
Ingawa viabo vingi vya humu vilikosa biti zenye ujazo na usafi wa maneno ukifananisha na albamu zake za baadaye, ni kazi yake iliolala sana katika masuala ya kisiasa. Analenga sana katika matatizo ya kijamii kama vile ukatili unaofanywa na mapolisi, umaskini, mimba kwa wasichana wadogo, na matumizi ya madawa ya kulevya, na baadhi ya masuala yanahusu hasa ulimwengu wa mtu mweusi nchini Marekani.
Orodha ya nyimbo
hariri# | Jina | Wageni Waalikwa | Mtayarishaji | Muda |
---|---|---|---|---|
1 | "Young Black Male" | Big D The Impossible | 2:35 | |
2 | "Trapped" | Backing Vocals: Dank, Playa-Playa, Shock G, Wiz | Underground Railroad, The | 4:44 |
3 | "Soulja's Story" | Big D The Impossible | 5:05 | |
4 | "I Don't Give a Fuck" | Backing Vocals: Mickey Cooley, Pogo, Rodney Cooley | Pee-Wee | 4:20 |
5 | "Violent" | Backing Vocals: DJ Fuze, Mac Mone, Money B | Raw Fusion | 6:25 |
6 | "Words of Wisdom" | Shock G | 4:54 | |
7 | "Something Wicked" | Voice: Pee-Wee | Jeremy | 2:28 |
8 | "Crooked Ass Nigga" | Featuring: Stretch
Keyboards: Piano Man, The |
Stretch | 4:17 |
9 | "If My Homie Calls" | Big D The Impossible | 4:18 | |
10 | "Brenda's Got a Baby" | Backing Vocals: Dave Hollister, Roniece | Underground Railroad, The | 3:55 |
11 | "Tha' Lunatic" | Featuring: Stretch | Live Squad | 3:29 |
12 | "Rebel Of The Underground" | Backing Vocals: Di-Di, Ray Luv, Shock G, Yonni | Shock G | 3:17 |
13 | "Part Time Mutha" | Featuring: Angelique
Voice: Poppi |
Big D The Impossible | 5:13 |
Single
haririMaelezo ya Single |
---|
"Brenda's Got a Baby"
|
"Trapped"
|
"If My Homie Calls"
|
Chati
haririMwaka | Albamu | Chati | |
Billboard 200 | Top R&B/Hip Hop Albums | ||
1992 | 2Pacalypse Now | #34 | #13 |
Chati na Nafasi za Single
haririMwaka | Wimbo | Nafasi ya Chati | |||
Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks | Hot Rap Singles | ||||
1992 | "Brenda's Got a Baby/If My Homie Calls" | #23 | #3 |
Marejeo
hariri
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2Pacalypse Now kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |