4G Ni vizazi vya nne vya broadband mtandao wa simu teknolojia, vikifuatia 3G na kuvipita 5G. Mfumo wa 4G lazima utoe uwezo uliowekwa na ITU katika IMT Advanced.

Hata hivyo, mwezi Desemba 2010, ITU iliongeza ufafanuzi wake wa 4G kujumuisha Long Term Evolution (LTE), Worldwide Interoperability for Microwave Access (WiMAX), na Evolved High Speed Packet Access (HSPA+).[1]

Kiwango cha kwanza cha WiMAX kilianza kutumika kibiashara nchini Korea Kusini mwaka 2006 na tangu wakati huo kimepelekwa sehemu kubwa duniani.

[2]

Teknolojia ya 4G inachukua 58% ya soko la teknolojia ya mawasiliano ya simu duniani.[3]

Marejeo hariri

  1. "ITU says LTE, WiMax and HSPA+ are now officially 4G". phonearena.com. Desemba 18, 2010. Iliwekwa mnamo 19 Juni 2022. 
  2. {{|title=How fast are 4G and 5G? - Speeds and UK network performance |url=https://www.4g.co.uk/how-fast-is-4g/ |access-date=2023-01-24 |website=www.4g.co.uk}}
  3. "Market share of mobile telecommunication technologies worldwide from 2016 to 2025, by generation". Statista. Februari 2022. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 4G kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.