8 Days of Christmas ni albamu ya Krismasi iliyoimbwa na Destiny's Child, na kutolewa na Columbia Records mnamo Oktoba 2001 ncini Marekani. Ilifika namba 25 kwenye chati ya Billboard 200 na ikauza zaidi ya nakala 23,000 kwenye wiki yake ya kwanza. Ilithibitishwa gold na RIAA baada ya kuuzwa kwa nakala 500,000.
8 Days of Christmas |
Kasha ya albamu ya 8 Days of Christmas.
|
Studio album ya Destiny's Child |
Imetolewa |
30 Oktoba 2001 (2001-10-30) |
Imerekodiwa |
Julai - Septemba 2001 |
Aina |
R&B, pop |
Urefu |
41 min |
Lugha |
Kiingereza |
Lebo |
Columbia |
Mtayarishaji |
Demon Elliott, Kurt Farguhar, Focus, Alan Foyd, Rob Fusari, Alonzo Jackson, Beyoncé Knowles, Errol McCalla Jr., Falante Moore, Willie Morris, Ric Wake, Erron Williams, Bama Boyz |
Tahakiki za kitaalamu |
|
Wendo wa albamu za Destiny's Child |
|
Single za kutoka katika albamu ya 8 Days of Christmas |
- "8 Days of Christmas"
Imetolewa: 2001
- "Rudolph the Red-Nosed Reindeer"
Imetolewa: 2004
|
- "8 Days of Christmas" (Erroll McCalla Jr., Beyoncé Knowles) 3:31
- "Winter Paradise" (B. Knowles, Rob Fusari, Falante Moore, G. Michael) 3:36
- "A 'DC' Christmas Medley" (H. Gillespie, F. Coots, S. Nelson, J. Rollins, J. Marks, G. Autry, O. Halderman) 3:59
- "Jingle Bells"
- "Santa Claus Is Coming to Town"
- "Frosty the Snowman"
- "Holly Jolly Christmas"
- "Deck the Halls"
- "Here Comes Santa Claus"
- "Silent Night" (by Beyoncé Knowles) 3:41
- "Little Drummer Boy" (featuring Solange Knowles) (K. Davis, H. Onorati, H. Simeone) 3:36
- "Do You Hear What I Hear?" (by Kelly Rowland) (N. Rigney, G. Shain) 3:47
- "White Christmas" (I. Berlin) 1:43
- "Platinum Bells" (R. Evans, J. Livingston 1:27
- "O Holy Night" (by Michelle Williams) (A. Adam) 4:25
- "Spread a Little Love on Christmas Day" (B. Edwards Jr., B. Knowles) 3:42
- "This Christmas" (N. McKinnor, D. Hathaway) 3:38
- "Opera of the Bells" (M. Dythrovych) 4:35
- Reissue bonus tracks
- "Home For The Holidays" (B. Knowles, S. Knowles, Bama Boyz) 3:10
- "Rudolph the Red-Nosed Reindeer" 2:31
- "Proud Family" (Solange featuring Destiny's Child) 2:17
- "Emotion" (with strings) 4:22
- Toleo lingine
Historia ya kutolewa kwa albamu hii
hariri
Eneo
|
Tarehe
|
Aina
|
United States
|
Oktoba 23, 2001 (2001-10-23)
|
Compact disc
|
Poland
|
Novemba 5, 2001 (2001-11-05)
|
Compact disc
|
United States
|
Oktoba 18, 2005 (2005-10-18)
|
DualDisc
|