A.Y. (mwanamuziki)
Ambwene Alen Yesaya (anafahamika zaidi kwa jina la AY; amezaliwa Mtwara, 5 Julai 1982) ni mwanamuziki wa muziki aina ya Komesho, Rap na Hip Hop, mwigizaji na pia mwanamitindo kutoka nchini Tanzania.
Ambwene Yesaya | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Ambwene Alen Yesaya |
Amezaliwa | 5 Julai 1982 |
Asili yake | Mtwara, Tanzania |
Aina ya muziki | Bongo Flava, hip-hop |
Kazi yake |
AY ametoa nyimbo nyingi maarufu nchini Tanzania, kama vile Raha tu 1-2, Raha Kamili, Machoni kama watu, Binadamu n.k.
AY ambaye anafahamika sana nchini Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi hadi Kusini mwa Afrika. Vile vile alikuwa mwanakikundi wa East Coast Team linaloongozwa na Gwamaka Kaihula aliye maarufu kama King Crazy GK, na mwenzake Khamis Mwinjuma maarufu kama Mwana Falsafa au Mwana FA. Kundi hilo la Muziki lina maskani yao Upanga jijini Dar es Salaam.
Pia Ambwene Allen Yesaya aliwashikirisha ndugu wawili kutoka Nigeria wanaounda kundi la P-SQUARE.
Albamu Alizotoa
haririViungo vya Nje
hariri- Tovuti Rasmi ya AY Archived 20 Aprili 2008 at the Wayback Machine.
- Habari za AY katika tovuti ya Swahili Remix Archived 24 Januari 2007 at the Wayback Machine.
- Maelezo mengine kuhusu AY
- AY katika Music in Africa blogu
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu A.Y. (mwanamuziki) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |