A. C. Newman
Allan Carl Newman (alizaliwa 14 Aprili 1968)[1]ni mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo kutoka Kanada. Alikuwa mwanachama wa bendi ya indie rock, Superconductor bendi na Zumpano katika miaka ya 1990. Baada ya kuvunjika kwa bendi hizo, alijitokeza tena kama kiongozi wa bendi ya the New Pornographers mwaka 2000, bendi ambayo imepata mafanikio makubwa kibiashara na kimapokeo.[2][3]
Marejeo
hariri- ↑ iTunes – Music – A.C. Newman. Itunes.apple.com (1968-04-14). Retrieved on 2012-11-02.
- ↑ "A.C. Newman: Interview: New Pornographers front man steps out, gor | Prefix". Prefixmag.com. 2000-01-01. Iliwekwa mnamo 2011-11-08.
- ↑ James Keast, "The New Pornographers: Mutual Appreciation Pop Society". Exclaim!, November 1, 2000.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu A. C. Newman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |