A Hotel Called Memory

Filamu ya Nigeria mwaka 2017

A Hotel Called Memory ni filamu ya Nigeria ya Nollywood ya mwaka 2017 iliyoongozwa na Akin Omotoso. Inajulikana kwa kukosa mazungumzo, ikijulikana zaidi kama filamu ya kwanza ya kinigeria ya kimyakimya .[1]

Filamu hii imefanyika sehemu mbalimbali ikiwemo Lagos, Cape Town na Zanzibar. ni filamu inayoelezea kisa cha mwanamke anaYetalakiwa na mume wake na kuamua kuzunguka sehemu mbalimbali kwa ajili ya kutafuta utambuzi[2][3] filamu imeandikwa na Branwen Okpako, na mtayarishaji ni Ego Boyo na nyota wa filamu hii Nse Ikpe-Etim.ilishinda tuzo ya experimental film katika tamasha la BlackStar Film Festival mjini Philadelphia.[4]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu A Hotel Called Memory kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.