A Little Bit of Mambo
"A Little Bit of Mambo" ni jina la kutaja albamu ya kwanza ya mwanamuziki wa Kijerumani - Lou Bega. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 1999. Albamu iilisukumwa vilivyo na single yake ya "Mambo No. 5", na kupelekea albamu kupata tunu ya platinamu katika nchi 10.
A Little Bit of Mambo | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Lou Bega | |||||
Imetolewa | 19 Julai 1999 (Ujerumani) 14 Juni 2000 (toleo la Kifaransa) |
||||
Imerekodiwa | 1998-1999 | ||||
Aina | Pop ya Killatini / Mambo / Jazz | ||||
Urefu | 43:04 | ||||
Lebo | Lautstark / BMG / RCA Records | ||||
Mtayarishaji | Frank Lio Goar B Donald Fact |
||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Lou Bega | |||||
|
|||||
Kasha lingine | |||||
Toleo la Kifaransa |
Nyimbo zote zimetungwa na Lou Bega, Zippy Davids, Frank Lio na Donald Fact, kasoro: Wimbo 1 - Mambo No. 5 (A Little Bit of...): ni muziki wa Perez Prado, mashairi ya Lou Bega na Zippy Davids; Wimbo 4 - Can I Tico Tico You: ni wimbo wa Z. Abreu, mashairi ya Lou Bega, Zippy Davids, Frank Lio na Donald Fact.
Orodha ya nyimbo
hariri- "Mambo No. 5 (A Little Bit of...)" - 3:39
- "Baby Keep Smiling" - 3:10
- "Lou's Cafe" - 0:59
- "Can I Tico Tico You" - 2:52
- "I Got a Girl" - 3:13
- "Tricky, Tricky" - 3:24
- "Icecream" - 3:48
- "Beauty on the TV-Screen" - 4:03
- "1+1=2" - 4:02
- "The Most Expensive Girl in the World" - 3:44
- "The Trumpet Part 2" - 6:03
- "Behind Stage" - 1:17
- "Mambo Mambo" - 3:00
Toleo la Kifaransa limejumlisha matoleo mawili ya "Mambo Mambo": toleo rasmi na toleo la redio.
Marejeo ya Nje
hariri- [1] Ilihifadhiwa 13 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
- [2]