Tricky, Tricky
"Tricky, Tricky" ni jina la wimbo wa mwanamuziki wa Kijerumani Lou Bega. Wimbo ulitoka mnamo mwaka wa in 1999, kutoka katika albamu yake ya kwanza ya A Little Bit of Mambo. Wimbo ulikuwa maridhawa kwa nchi ya Marekani na Sweden, ingawa ulikuwa umepitwa na kile kibao kikali cha "Mambo No. 5". Mashairi ya wimbo huu yanaelezea mwanamke anayependa kutumia fedha nyingi, na vipi mahusiano yake baina yake yeye na mwanaume hayatokuwa.
“Tricky, Tricky” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Lou Bega kutoka katika albamu ya A Little Bit of Mambo | |||||
Imetolewa | 7 Desemba 1999 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Aina | Pop ya Kilatini | ||||
Urefu | 3:17 (toleo la redio) 5:10 (iliyochanganywa kabisa) | ||||
Studio | Lautstark / BMG / RCA Records | ||||
Mtunzi | Lou Bega Zippy Davids Frank Lio Donald Fact | ||||
Mtayarishaji | Goar B Frank Lio Donald Fact | ||||
Mwenendo wa single za Lou Bega | |||||
|
Chati zake
hariri
Orodha ya nyimbohariri
Kwenye vyombo vya habarihariri
|