A Point of No Return
"A Point of No Return" ni jina la filamu iliyotoka 2008 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Steven Kanumba , Wema Sepetu , Mahsein Awadh , Asha Jumbe , Leyla Ismael , Charles Magari , Anne Constantine (Waridi). Filamu imeongozwa na Mtitu Game na kutayarishwa na Mtitu akiwa na Steven Kanumba. Huku hadithi ikiwa utunzi wa Mtitu Game. Filamu inaelezea usaliti na mateso yanatokea ndani ya ndoa. Hii ni filamu ya kwanza kuchezwa na Miss Tanzania wa zamani Bi. Wema Sepetu. [1]
A Point of No Return | |
---|---|
Posta ya A Point of No Return | |
Imeongozwa na | Mtitu Game |
Imetayarishwa na | Game 1st Quality Tanzania Limited |
Imetungwa na | Mtitu Game |
Nyota | Steven Kanumba Wema Sepetu Mahsein Awadh Asha Jumbe Leyla Ismael Charles Magari Anne Constantine |
Sinematografi | Zakayo Magulu |
Imesambazwa na | Game 1st Quality |
Imetolewa tar. | 2008 |
Nchi | Tanzania |
Lugha | Kiswahili |
Marejeo
hariri- ↑ A Point of No Return Archived 16 Septemba 2018 at the Wayback Machine. katika Bongo Cinema.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu A Point of No Return kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |